JICHO LA LUKAZA BLOG LILIPOFANYA ZIARA YA MASAA MATATU KATIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA JIJINI DAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

JICHO LA LUKAZA BLOG LILIPOFANYA ZIARA YA MASAA MATATU KATIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA JIJINI DAR LEO

Hapa ni uwanja uliopo ndani ya makumbusho ya Taifa yaliyopo katika barabara ya Shaban Robert Mkabara na Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) mazingira ni masafi,tulivu na mazuri.tembelea makumbusho ya taifa kwa kujiona vitu mbalimbali vya kale na kujua historia ya mambo ya kale.
Huyu ni Mmoja wa Samaki aina ya papa ambae amehifadhiwa vizuri kabisa ndani ya makumbusho ya taifa yaliyopo mkabara na Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) tembelea pale na uje historia ya huyu samaki.
Hii ni Nyuma iliyotengenezwa na udongo na kuwekwa ndani ya nyumba ya makumbusho jijini Dar Kwa kujua historia ya Nyumba hii nenda katembelee utajua vitu vingi
Hii ni sanamu la kabila la kimasai lililopo ndani ya nyumba ya makumbusho ya taifa
Mashine ya kutolea pesa ya kwanza kabisa kuingia nchini na kuanza kutumika Ni Mashine iliyoletwa na Bank ya Kimataifa ya Standard Charter ambayo ndio mashine ya kwanza kabisa kuingia nchini Tanzania na kutumika na Standard Charter Ndio benki ya Kwanza ya Kimataifa kuleta ATM mashine nchini Tanzania
Gari ya Kwanza kabisa kutumiwa na Raisi Wa Kwanza wa Tanzania Marehemu Mwl Nyerere ikiwa katika makumbusho ya taifa. Gari hii ilitengenezwa Mnamo Mwaka 1950
Huu ni mzinga uliopo ukiwa unaingia ndani ya makumbusho ya taifa.ebu tembelea ujifunze mengi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages