Gavana Wa Benki Kuu Profesa Benno Ndullu , Azindua Mfumo Wa Kununua Dhamana Na Hati Fungani Kwa Njia Ya Mtandano - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Gavana Wa Benki Kuu Profesa Benno Ndullu , Azindua Mfumo Wa Kununua Dhamana Na Hati Fungani Kwa Njia Ya Mtandano

 GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu akiongea na waandishi wa habari  jijini Dar es salaam kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mfumo wa mawakala wa Benki hiyo wa kununua dhamana za Serikali na hati fungani kwa njia ya mtandano(online) kwenye mnada na hivyo kupunguza ule utaratibu wa dhamana wa kupeleka karatasi katika Benki ili kupata huduma hiyo.
Maswali--- GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu(kushoto) na Naibu Gavana wa BoT, Dk Natu Mwamba(kulia) wakinukuu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari jana (leo) jijini Dar es salaam kabla hawajaanza kuyatolea ufafanuzi.Picha na Vicent Tinganya-Maelezo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages