WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA DARASA LA TATU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA DARASA LA TATU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwalimu wake, John Kasalamimba wakati walipokutana Mkjini Mpanda Agust 30,2012.Mwalimu Kasalamimba alimfundisha Waziri Mkuu  kuanzia mwaka 1960darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages