FAINALI YA MASHINDANO YA DANCE MIA MIA YALIYOFANYIKA JANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FAINALI YA MASHINDANO YA DANCE MIA MIA YALIYOFANYIKA JANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB

Vimwana wa kundi pekee la akinadada la Tanzania Queens wakishambulia wakati fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana.  
TZ Queens
Tanzania Queens wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana.
Kazi inaendelea kwa TZ Queens
TZ Queens mzigoni
TZ Queens
TZ Queens 
  Kundi la Best Friends likifanya mambo wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana.Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA. PICHA ZOTE: AMUR HASSAN.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages