Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa Katibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya
Usafiri wa Baharini (IMO) William Azuh,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
jana kwa Mazungumzonae.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kiongozi wa
Mabalozi waliopo Tanzania,pia Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Juma Alfani Mpango,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa Mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi wa
Katibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Usafiri wa Baharini (IMO) William
Azuh,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa Mazungumzo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kiongozi wa
Mabalozi waliopo Tanzania,pia Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
JUma Alfani Mpango,(katikati) na Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za
Kiarabu(UAE) pia Kiongozi wa Mabalozi wa Nchi za Kiarabu nchini
Tanzania,Mallalla Mubarak Suweid El-Amri, walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar jana kwa
Mazungumzo.
Mazungumzo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na ujumbe wa Uongozi wa Chama cha Wanasheria Zanzibar
(ZLS) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,ukiongozwa na Rais wa Jumuiya
hiyo Awadh Ali Said,(wa pili kushoto).Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)