HIVI NDIVYO Mwanamuziki JOSE CHAMELEONE Alivyofanya Maandamano Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda Kushinikiza Arejeshewe Paspoti Yake. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

HIVI NDIVYO Mwanamuziki JOSE CHAMELEONE Alivyofanya Maandamano Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda Kushinikiza Arejeshewe Paspoti Yake.

Mwanamuziki Jose Chameleone akiimba nje ya ubalozi wa Tanzania nchini Uganda
Baadhi ya watu mablimbali walioungana na Mwanamuziki Jose Chameleone
 Gari la Polisi likiwa nje ya Ubalozi Tanzania nchini Uganda
Mwanamuziki mashuhuri nchini Uganda Jose Chameleone akiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda na mabango sambamba na wapambe wake akishinikiza apatiwe passport yake ambayo anadai inashikiliwa na Bwa.Erick Shigongo.Picha mbalimbali kama zinavyoonesha tukio hilo nje ya jengo la Ubalozi Tanzania nchini Uganda.Picha zaidi ingia kwenye www.facebook.com/josechameleone

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages