Taswira Kutoka Semina ya Kuandaa Mpango Kazi wa Mwaka 2012-13 Wa Bunge la Afrika ya Mashariki - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Taswira Kutoka Semina ya Kuandaa Mpango Kazi wa Mwaka 2012-13 Wa Bunge la Afrika ya Mashariki

 Wabunge wa Afrika Mashariki Shy Rose Bhanji na mwenzake kutoka burundi wakibadilishana mawazo na na spika wa bunge la Afrika ya Mashariki, Magreth Nzziwa (katikati), kutoka Uganda ambaye ni spika wa kwanza mwanamke toka kuanzishwa tena EAC hapa wakiwa kwenye kikao cha kupanga kazi za mwaka za bunge hilo katika Hotel ya East Afrikan jijini Arusha
  Spika wa bunge la Afrika ya mashariki, Magreti Nzziwa Nantongo akiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuandaa mpango kazi wa mwaka 2012-13 ya bunge la Afrika ya mashariki kwenye Hoteli ya East African hotel jijini Arusha.
  Mbunge wa bunge la afrika mashariki Shyrose Bhanji Akipitia kwa makini makabrasha ya semina ya mpango kazi wa bunge la afrika ya mashariki jana jijini arusha
 Wabunge wa Bunge la afrika Mashariki wakiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuwajengea uwezo na kuanda mpango kazi wa mwaka 2013 kwenye hotel ya East African jijini Arusha pichani ni mwakilishi na mbunge wa bunge hilo shyrose Bhanji wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa semina hiyo.Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages