Mkuu wa mkoa wa Mara awapongeza warembo wa Mkoa wake - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mkuu wa mkoa wa Mara awapongeza warembo wa Mkoa wake

 Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa amewaaliki washindi wa shindano la kumsaka Mrembo wa Mkoa wa Mara Ofisini kwake na kuwapongeza kwa kuwatakia Mashindano mema kwa hatua inayofuta ya Kanda ya Ziwa itakayoshirikisha jumla ya Mikoa (6) ambayo ni Mara, Mwanza, Kagera, Shinyanga, Geita na Simiyu. Warembo hao ni Miss Mara namba moja Aisha Bakari, No 2 Eugenia Fabiano na No 3 Jacqueline Mzava
 Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa akizungumza na warembo ofisini kwake.
 Picha ya pamoja ilipigwa na viongozi
 Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa na warembo.
Mtaribu wa shindano hilo Godsos Mukama akila pozi na warembo wake.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages