MAJERUHI WA MELI ILIOZAMA WAENDELEA VIZURI HOSPITALI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAJERUHI WA MELI ILIOZAMA WAENDELEA VIZURI HOSPITALI.

 Waandishi wa Habari mbalimbali wakimuhoji Dk.Ahmed Makata Mchunguzi Mtaalamu wachanzo cha Vifo Jeshi la Polisi Dare es salaam kuhusiana na Taratibu zinazoendelea katika Viwanja vya Maisara zinazowekwa maiti za ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Zanzibar na hali zao zinaendelea Vizuri.
Baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Zanzibar na hali zao zinaendelea Vizuri.
Wanachi mbalimbali wakiangalia Picha za Marehemu waliofariki kutokana na ajali ya Meli ya Mv,Skagit ili kila mwenye maiti yake aweze kuitanbua na kufanya taratibu za Kuichua kwa ajili ya Mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages