HII NI HATARI KABISA KWA MAISHA YETU LAKINI HATUNA CHA KUPOTEZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HII NI HATARI KABISA KWA MAISHA YETU LAKINI HATUNA CHA KUPOTEZA

Picha hapo juu ni Watoto ambao huwa wanaomba barabarani pindi magari yanapokuwa kwenye foleni. Hapa ni Maeneo ya mwenge vijana hawa wenye umri wa kwenda shule wakiwa wameketi ndani ya hifadhi ya barabara ya ali hassan mwinyi maeneo ya mwenge wakipiga story bila hata ya wasiwasi wa maisha yao endapo gari litapita au kukosea njia

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages