WAREMBO WA MISS DAR INTERCOLLEGE 2012 WATEMBELEA DUKA LA SHEAR ILLUSIONS MLIMANI CITY, DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAREMBO WA MISS DAR INTERCOLLEGE 2012 WATEMBELEA DUKA LA SHEAR ILLUSIONS MLIMANI CITY, DAR

 Baadhi ya Warembo wa Miss Dar InterCollege wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Warembo wa Miss Dar InterCollege wakiangalia bidhaa mbali mbali zinazopatikana kwenye duka hilo.
Mmoja ya wafanyakazi wa duka la Shear Illusions la Mlimani City jijini Dar akitoa maelezo kwa warembo wa Miss Dar InterCollege.
 Mrembo wa Miss Dar InterCollege akivalishwa saa.
Warembo wa Miss Dar InterCollege wakigawiwa zawadi na mwalimu wao Marlydia Boniface (wa kwanza kulia) ambazo walipewa mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions ambao ni wadhamini wa shindano hilo. Picha/www.kajunason.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages