Tawi la CHADEMA Washington DC Nchini Marekani Lazidi Kuvuna Wanachama Wapya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tawi la CHADEMA Washington DC Nchini Marekani Lazidi Kuvuna Wanachama Wapya

  Linda Bezuidenhout (LB) furaha baada ya kuvua kamba kuvaa kwanda na kuchukua kadi  kuwa mwanachama kamili wa Chama Cha Demokrasia Chadema.
 Mwenyeketi wa tawi la Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Mhe. Kalley Pandukizi, pamoja na katibu wake  Mhe. Libe Mwang'ombe akimkabidhi rasmi mwanacham mkareketwa  ambae ni mwana mitindo Linda  Bezuidenhout (LB) kati ya uwanachama wa chama cha  Demokrasia Chadema katika ofisi ya  tawi la Tawi la Chama Washington DC.
 Mwenyeketi wa  Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Kalley Pandukizi akiwa na katibu wachama hicho,Ndugu Libe Mwang'ombe alipotoa kadi rasmi kwa Beautician maharufu na designer wa kitanzan Linda  Bezuidenhout (LB)
 Viongozi wa tawi la chadema Washington DC wakipata Champagne
Mwenyeketi wa tawi la Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Mhe.  Kalley pamoja na katibu wake  Mhe. Libe Mwang'ombe wakipata picha ya pamoja na Linda  Bezuidenhout Atlanta, Georgia na wanachama wa tawi la chadema Washington DC. Katika miaka ya nyuma Linda aliwahi  kusponsor  matukio mbali mbali kwenye  miaka ya 1990 wengi wao wakimjua kwa Linda Express Nchini Tanzania ambae ambaye hivisasa anajishughulisha na  biashara ya nguo za kiume milanovita.com pamoja na  zakike ambazo anadesign mwenyewe kwa brand name ya Linda kutoka Atlanta, Georgia Nchini Marekani.Picha na Mdau Wa Swahilivilla

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages