Mtoto Mezea Seif wa darasa la kwanza katika shule ya msingi
Njalamatata akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru wakati ulipokuwa katika
kijiji hicho wilaya ya Namtumbo kwa kazi ya kuhimiza shughuli za
maendeleo jana.
-Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kapteni Honest Mwanossa akizindua
mradi wa kisima cha maji safi ya kunywa kwa ajili ya wanafunzi wa shule
ya sekondari ya Utwango wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Kulia ni Mbunge
wa jimbo la Namtumbo Vita Kawawa.
Raia wa Marekani aliyefahamika kwa jina moja la Penzia akiwa
ameshika Mwenge wa Uhuru wakati uliposimama katika kijiji cha Hanga
kutoa ujumbe kwa wananchi kuhusu umuhimu wa wananchi kujiandaa
kuhesabiwa ifikiapo Agosti 26,2012.
Na Revocatus A.Kassimba
Afisa Habari
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Ruvuma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)