Ally Choki akiwaburudisha washabiki na wapenzi
wa Extra Bongo ndani ya Meeda usiku wa kuamkia leo
Choki akicheza show
na wanenguaji wake wa Extra bongo ndani ya Meeda Sinza.
Banza Stone Mwana wa Masanja - AKA Jenerale
akiimba nyimbo yake ndani ya Meeda Sinza.
Mmiliki wa KAPINGAZ Blog Henry Kapinga alikuwepo
ndani ya Meeda Sinza, hapa akishoo luv na kuwapa Big Up Ally Choki na Banza
Stone wakati Extra Bongo walipokuwa wanafanya show usiku wa kuamkia leo ndani ya
ukumbi huo.
Rapa maarufu namba moja Afrika mashariki wa
Extra Bongo Kaba Tano akirap ndani ya Meeda Sinza usiku wa kuamkia leo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)