Bondia Francis Miyeyusho amtwanga Malawi John Masamba - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Bondia Francis Miyeyusho amtwanga Malawi John Masamba

piga
Bondia Francis Miyeyusho akimshambulia bondia kutoka Malawi John Masamba wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Miyayusho alishinda kwa K.O Raundi ya 5.
miyayusho
Bondia John Masamba kutoka Malawi akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Francis Miyeyusho wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana. 
miyayusho
Bondia John Masamba kutoka Malawi akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Francis Miyeyusho wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana.
DSC_0087
Bondia Obote ameme akioneshana kazi na Cosimasi Cheka
DSC_0110
Bondia Miyayusho akisikiliza wimbo wa taifa wakati wa kuimba nyimbo za matasifa mawili
ali
Bondia Rashidi Ali akioneshana kazi na Amnos Mwamakula wakati wa mpambano wao jana.Picha na www.superdboxingcoach,blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages