Warembo
wa Miss Kurasini 2012 ambao leo wanataraji kupanda jukwaani kuwania
taji la Redds Miss Kurasini 2012 wakiwa katika moja ya Maduka ya Mzamini
wao Mkuu NAEEMS CLASIC WAER lililopo Kariakoo Mtaa wa Pemba na
Msimbazi jijini Dar es Salaam.
Warembo
hao walitembea Duka hilo linalouza mavazi, urembo na vitu vingine
mbalimbali vinavyouzwa katika Duka hilo kali na la aina yake jijini.
NAEEMS
CLASIC WAER wakali wa pamba na viatu vya uhakika pia wanapatikana
Mikocheni Barabara ya Zamani ya Bagamoyo mkabala na Shule ya Msingi
Feza.
Hakika ni pamba za ukweli zilizopo NAEEMS CLASIC WAER na hapa warembo wakizikubali
Warembo wa Redds Miss Kurasini leo watapanda jukwaani kuwania taji hilo huku Mdhamini Mkuu akiahidi zawadi kem kem.
Viatu
navyo vipo vya uhakika katika maduka yote mawili ya NAEEMS CLASIC WAER
yaliyopo jijini Dar es Salaam pale Kariakoo na Mikocheni.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)