Leo
majira ya saa 4.00 asbh kumetokea ajali mbaya ya basi la NBS
linalotokea Tabora kwenda Arusha, basi hilo lilipasuka Taili la mbele na
kugonga mti na kuung'oa na kisha kupinduka.
hadi
sasa kuna maiti sita zilizowasilishwa Mortuary na Dereva wa gari hilo
pia ni marehemu ila bado maiti yake haijatolewa kwani amebanwa hadi basi
hilo likatwe ndiyo atolewe
Source Sophia Kessy
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)