Rais Jakaya
Kikwete akibadilishana mawazo na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani
(USAID), Dk. Raj Shah (katikati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Millennium
Challenge Corporation, Daniel W. Johannes wakati wa hafla ya chakula cha
jioni iliyoandaliwa na Manispaa ya Chicago kwa ajili ya wakuu wa nchi
waliohudhuria Kongamano la Usalama wa Chakula Duniani, Washington DC,
Marekani. (Picha na Ikulu).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)