Mwanamke Mkazi wa Rufiji Ajeruhiwa Mguu Alipokua Akipamban na Mamba - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mwanamke Mkazi wa Rufiji Ajeruhiwa Mguu Alipokua Akipamban na Mamba

Mwanamke Mkazi wa Rufiji, Khadija Boma (40), kifanyiwa tiba na Muuguzi Geraidina Amani juzi katika wodi 2 ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dar es Salaam, baada ya kujeruhiwa mguu alipokuwa akipambana na Mamba katika Mto Kipoka juzi, Rufiji. Mama huyo ambaye amekatwa mguu wa kulia aliong'atwa na Mamba, kabla ya kuokolewa na wananchi, alipambana naye huku akiwa na mtoto mgongoni.Picha na Khamis Mussa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages