Bondia Ibrahimu Class kulia akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi
na bondia Iddy Mnyeke wakati wa mpambano wao wa kutafuta kumi bora
iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam juzi mabondia hao
walitoka droo ya point 38 kwa 38.
Bondia Hamisi Nassoro kushoto akioneshana uwezo wa kutupa masumbwi na
Charo Issa wakati wa mashindano ya kumi bora yaliyofanyika Dar es
salaam juzi Charo alishinda kwa point.Picha na
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kushoto akioneshana ufundi wa kutupa
makande na West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya
kutafuta kumi bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition
Dar es salaam jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)