Mmoja wa
wasanii wa kufoka foka,aliyejitambulisha kwa jina moja la Rich akimwaga
mistari mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel,
ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya
airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini
Dar.shoo kubwa ya uzinduzi kufanyika kesho jumapili hapo hapo coco beach
siku nzima
Baadhi ya
timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel wakiuza bidhaa mbalimbali za
kampuni hiyo mapema leo jioni wakati wa kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya
utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel/Airtel Super 5
uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya
Wasanii wa kikundi cha Kinoko,kutoka Mwananyamala wakitumbuiza jukwaani
mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),mapema leo jioni wakati kampuni
ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na
uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye
ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Mmoja wa
wafanyakazi kutoka timu ya mauzo ya kampuni ya Airtel akiinadi modem ya
Airtel 3.75G yenye kasi zaidi kuliko zote nchini, leo jioni wakati wa
kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma
mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco
beach,jijini Dar.
Baadhi
ya timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel wakiuza bidhaa mbalimbali za
kampuni hiyo mapema leo jioni wakati kampuni hiyo ilipokuwa ikifanya
utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5
uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya
Wasanii wa kikundi cha Kinoko,kutoka Mwananyamala wakitumbuiza jukwaani
mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),mapema leo jioni wakati kampuni
ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na
uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye
ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Wateja wapya
mbalimbali wakiendelea kuhamia Airtel, mapema leo jioni wakati kampuni
ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na
uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye
ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)