VIFIJO NA NDELEMO VYATAWALA USIKU WA JANA CHUO KIKUU CHA DODOMA BAADA YA BARCELONA KUFUNGASHIWA VILAGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

VIFIJO NA NDELEMO VYATAWALA USIKU WA JANA CHUO KIKUU CHA DODOMA BAADA YA BARCELONA KUFUNGASHIWA VILAGO

Wanafunzi wa UDOM walipokuwa wakishangilia baada ya barcelona kutolewa na Chelsea katika Ligi ya Mabingwa kwa jumla ya Magoli 3 kwa 2 hapo jana usiku baada ya Mechi kumalizika
Ndelemo na Vifijo vilitawala takriba nusu saa katika Chuo Kikuu Cha Dodoma Usiku wa Jana mara baada ya barcelona Kufungashiwa vilago na Chelsea katika raundi ya pili ya Nusu fainali ya ligi ya UEFA ambapo barcelona waliondolewa kwa jumla ya Magoli 3 kwa 2 dhidi ya Chelsea

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages