WAZIRI MKUU ALIPOFUNGUA CHUO CHA VETA KONGOWE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU ALIPOFUNGUA CHUO CHA VETA KONGOWE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Nchini, Bw. Young Hoon Kim baada ya kufungua Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) mkoa wa Pwani kwenye eneo la Kongowe Machi 21, 2012,. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitazama chombo wanachotumia wanachuo kujifunza matengenezo ya umeme wa magari wakati alipofungua chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) cha mkoa wa Pwani kenye eneo la Kongowe , Kbaha, Machi 21 ,2012, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages