WANAFUNZI UDOM WAANZA KUONYESHA TABASAMU MARA BAADA YA MAJINA YA KUSAINI BOOM KUTOKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

WANAFUNZI UDOM WAANZA KUONYESHA TABASAMU MARA BAADA YA MAJINA YA KUSAINI BOOM KUTOKA

IMG00079-20120319-1106
Wanafunzi Wa UDOM wakiwa kwenye foleni tayari kwenda kusaini Pesa ya Kujikimu Asubuhi.Zoezi ambalo lilianza mapema Jumamosi iliyopita.
IMG00081-20120319-1111
 Haya sasa Wanafunzi wa Udom Hao wakiwa kwenye foleni tayari kwa kusaini boom.
IMG00082-20120319-1122
 Wengine wakiwa kwenye foleni huku wengine wakiwa katika majadiliano mazito kuhusu boom.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages