Umati
wa wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF hii leo umejitokeza kumpokea
Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa IBRAHIM LIPUMBA aliyekuwa nchini
Marekani kwa kazi maalum aliyopewa na Umoja wa Mataifa kwa lengo la
kuangalia njia bora zinazoweza kutumika katika kurekebisha uchumi wa
dunia uliporomoka hususani kwa mataifa yanayoendelea.
Akizungumza Mara baada ya kuwasili, nchini, Prof LIPUMBA amesema kuwa atatumia fursa aliyopata mara baada ya kuteuliwa na umoja huo katika kushauri namna ya kuboresha uchumi wa nchi kufuatia kuwa miongoni mwa mataifa yanayoendelea Ulimwenguni.Kwa hisani Ya East Africa Blog

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)