SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE YAPATA WABUNGE WAPYA NA WAZIRI MKUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE YAPATA WABUNGE WAPYA NA WAZIRI MKUU

DSC02155 RAISI WA MUSO MH,AMONI CHAKUSHEMEIRE AKITOA HOTUBA FUPI YA KUFUNGUA BUNGE LA KWANZA
DSC02124 SPIKA WA BUNGE LA MUSO FRANK MHILU AKIMTAMBULISHA WAZIRI MKUU MTEULE MH,NASIBU KANDURU
DSC02121 WABUNGE WATEULE WAKILA KIAPO
DSC02097  
SPIKA WA BUNGE  MH.FRANK MHILU AKIAPA  
DSC02183 BAADHI YA WABUNGE WAKISHANGILIA USHINDI WA KISHINDO WA SPIKA WA BUNGE NA KUPITA BILA KUPINGWA KWA WAZIRI MKUU 
DSC02107 WABUNGE WAKIAPA.PICHA NA MDAU WA LUKAZA BLOG - MZUMBE UNIVERSITY MOROGORO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages