Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa
Kisukuma baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole
kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa
Shinyanga Februari 20, 2012. Wanne kushoto ni Mtemi Majebele ambaye
ndiye alimpa heshima hiyo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa
Kisukuma baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole
kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa
Shinyanga Februari 20, 2012. Kushoto ni Mtemi Majebele ambaye ndiye
alimpa heshima hiyo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru
Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa Mtemi Masanja na mkewe
kuwa Ngole katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa
michezo wa Maswa Februari 20, 2012. Walikuwa kwenye ziara ya mkoa wa
Shinyanga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la Benki ya CRDB la Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 21, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawi la Benki ya CRDB nla Bariadi baada
ya kulifungua Februari 21, 2012.. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa
Shinyanga.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)