Baadhi
ya mabondia wa timu ya taifa ya Masumbwi wakifanya Mazoezi ya pamoja
katika kambi yao iliyopo Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam jana.
Kocha
wa timu ya taifa ya mchezo wa ngumi, Edward Lyakwipa (kushoto)
akimwelekeza bondia, Mohamed Abdul jinsi ya kuikwepa ngumi uku ukiwa
kwenye gadi wakati wa mazaoezi ya kambi hiyo iliyopo uwanja wa ndani ya
taifa Dar es salaam
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)