Spika wa Bunge ashiriki kuaga Mwili wa Marehemu Jeremiah Sumari leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Spika wa Bunge ashiriki kuaga Mwili wa Marehemu Jeremiah Sumari leo

IMG_0003 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mhe. Jeremia Sumari baada ya ibada ya kumuaga iliyofanyika katika kanisa la Kiinjiri la Kilutheri la Msasani Jijini Dar es salaam
IMG_0086Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Jeremiah Sumari katika Viwanja vya mnazi mmoja leo. Mhe. Sumari alifariki tarehe 18 Januari, 2012 katika hospitali ya Muhimbili
IMG_0136Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akiwahutubia mamia waliofika kutoa Salaam za rambirambi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru mashariki Mhe. Jeremiah Sumari katika viwanja vya mnazi mmoja leo. Mhe. Sumari alifariki tarehe 18 Januari, 2012 katika hospitali ya Muhimbili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages