Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jeremiah Sumari wakati wa misa ya kumuaga iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jeremiah Sumari wakati wa misa ya kumuaga iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jeremiah Sumari wakati wa misa ya kumuaga iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam. Mwili wa Sumari unatarajiwa kupelekwa kwao Arumeru mkoani Arusha kwa maziko. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages