Rais Zanzibar, Dk. Shein ateta na Watendaji wa Wizara za Kilimo na Maliasili, Mifugo na Uvivi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Rais Zanzibar, Dk. Shein ateta na Watendaji wa Wizara za Kilimo na Maliasili, Mifugo na Uvivi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi  wa Wizara ya Kilimo na Maliasili,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Januari 30.2012.  
Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,alipozungumza  nao katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake  za utekelezaji wa kazi za Wizara  hiyo.(Picha na Ramadhan Othman Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages