Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum(CCM)Rita Mlaki(katikati)Kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Busega Titus Kimani Kwenye Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Leo
Waziri
Mkuu Akifurahia Jambo Kwenye Mazungumzo na kati yake na Mbunge wa
Mkuranga na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Adam Malima(Wa tatu
Kulia),Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila (Wa Pili Kulia)na Mbunge
wa Gairo Ahmed Shabiby
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)