Rais wa
Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda kwenye makazi yake Gombani Zanzibar Septemba 12, 2011. Mheshimiwa
Pinda alikwenda kumpa pole kuafuatia ajali ya meli iliyozama na
kusababisha vifo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Seif Idd (kushoto) Mjini Zanzibar, Septemba 12, 2011. Mheshimiwa Pinda
alikwenda kumpa pole kuafuatia ajali ya meli iliyozama na kusababisha
vifo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)