Pages

NMB YASHEREHEKEA UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE


2K2A8432
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.

2K2A8471
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.

2K2A8525
Mmoja wa wateja wa Benki ya NMB, Isaac Joseph Kessy akikabidhiwa cheti na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki, Ruth Zaipuna. Kulia ni Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd na Kushoto ni Meneja wa NMB Mlimani City Seka Urio.

2K2A8437%2B%25281%2529
Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB wakiwa kwenye uzinduzi wa Wiki ya huduma kwa wateja.

DSC_0056
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB kutoka kitengo cha 'HR Support' (kulia) akiwasilisha mada namba kitengo hicho kilivyofanikiwa kutoa huduma zake ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.

DSC_0096
Mada mbalimbali zikijadiliwa na wafanyakazi wa NMB ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.

DSC_0088
Mada mbalimbali zikijadiliwa na wafanyakazi wa NMB ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.

DSC_0076
Sehemu ya wafanyakazi wa NMB wakiwa katika majadiliano Makao Makuu ya NMB ikiwa ni sehemu ya maadhimisho uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.

DSC_0110
Baadhi ya wafanyakazi wa NMB kutoka kitengo cha 'HR Support' makao makuu ya benki hiyo wakikata keki kujipongeza kwa kitengo hicho kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.

DSC_0119
Keki ikiandaliwa na kitengo cha 'HR Support' makao makuu ya Benki ya NMB tayari kwa kuliwa na washiriki.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)