Pages

WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) WALIVYOADHIMISHA MEI DEI 2018 UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva (kushoto), akiwa amesimama, kupokea maandamano ya wafanyakazi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema na katikati ni Katibu Tawala, Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita mbele ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva na bango lao lenye ujumbe maalum.

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa na miavuli yao, wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva (hayupo pichani), wakati walipoadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva (kushoto), akiyapokea maandamano ya wafanyakazi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema na katikati ni Katibu Tawala, Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando.

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa na na furaha tele na huku wamebeba miavuli yao, wakipita mbele ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva (hayupo pichani), walipoadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita mbele ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva katika maadhimisho hayo.

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa na bango lao la kujitangaza kibiashara wakilionesha wakati wakipita mbele ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva.

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), kutoka Idara ya usafirishaji vifurushi na barua wakipita na pikipiki zao, mbele ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva katika maadhimisho hayo.

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), kutoka Idara ya usafirishaji vifurushi na barua wakipita na magari yao, mbele ya mgeni rasmi.

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), kutoka Idara ya usafirishaji vifurushi na barua wakipita na magari yao, mbele ya mgeni rasmi. 

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa jukwaani katika maadhimisho hayo. 

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiimba wimbo wa Taifa, kabla ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva kuhutubia katika maadhimisho hayo. 

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiimba wimbo maalumu wa wafanyakazi, wimbo wa mshikamano, kabla ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Phelix Lyaniva kuhutubia katika maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)