Pages

VIDEO - WAKULIMA MTWARA WA MLILIA JPM, WATAKA IUNDWE TUME YA UCHUNGUZI

Baadhi ya wanachama wa vyama vya Msingi vya ushirika wa Kilimo na Masoko katika wilaya Newala na Tandahimba Mkoani Mtwara wamemuomba Rais Dkt John Pombe Magufuli kuunda tume maalum ya kufanya uchunguzi juu ya Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, ambacho hivi karibuni Naibu Waziri wa Kilimo Dakta Merry Mwanjelwa ametangaza kukigawa huku wanachama wake wakionekana kutoridhishwa na maamuzi hayo.


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)