Pages

VIDEO: MFANYA BIASHARA MKOANI RUVUMA AKUTWA AMEHIFADHI BIDHAA CHOONI


Wafanyabiashara Watatu katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma,Wanashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kutunza bidhaa katika maghala yasiyotambulika na serikali, huku mwingine akihifadhi bidhaa katika mazingira hatarishi kwa afya ya mwanadamu.( Chooni).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)