Pages

VIDEO - WAKAZI WA KISIWA CHA KOME MWANZA WAILILIA SERIKALI

Wakazi wa kisiwa cha Kome wilayani Sengerema mkoani Mwanza wameiomba serikali kuboresha huduma za afya kisiwani humo ikiwa ni pamoja na kuongezwa kwa watoa huduma kwenye kituo cha afya Kome kilichopo kisiwani humo.

Mganga mfawidhi wa kituo cha afya Dr.Victor Mathias licha ya kukiri upungufu huo amesema kituo hicho kinahudumia vijiji 12 kinakabiliwa na changamoto nyingi zikiwepo za upungufu wa vitendea kazi hatua inayoathiri utoaji wa huduma kwa wananchi. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)