Pages

WATEJA WA AIRTEL SMATIKA NA YATOSHA KULAMBA DODO

Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akizindua promosheni ya SHINDA NA SMATIKA ambapo kila siku wateja 1,000 wa Airtel watakaojiunga na huduma ya vifurushi vya SMATIKA na Yatosha Intaneti watajishindia 1GB BURE kwa kila mmoja. ili kujiunga na bando ya Smatika na Yatosha Intaneti piga *149*99# kisha kuchanga 5 SMATIKA Yatosha Intaneti.
Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo wakionyesha bango wakati wakizindua promosheni ya SHINDA NA SMATIKA Intaneti ambapo kila siku wateja 1,000 wa Airtel watakaojiunga na huduma ya vifurushi vya Yatosha SMATIKA Intaneti watajishindia 1GB BURE kwa kila moja. kujiunga na bando ya Smatika Yatosha Intaneti piga *149*99# kisha kuchanga 5 Yatosha Intaneti.
---
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia kifurushi cha SMATIKA na Yatosha Intaneti kuonesha upendo mwezi huu wa wapendao leo imezindua promosheni ya SHINDA NA SMATIKA yenye lengo la kwa kuwazadia wateja wake wote watakaojiunga na huduma ya bando za Smatika Yatosha intaneti.

Promosheni na zawadi za SHINDA NA SMATIKA zinafuatia baada wateja wa Airtel kufaidi unafuu wa huduma ya bando za SMATIKA na Yatosha Intaneti iliyozinduliwa mwishoni mwa mwaka jana ili kutoa uhuru kwa wateja wa Airtel nchi nzima kujichagulia bando la intaneti KABAMBE wakati wowote, mteja wa Airtel anaweza kunufaika na Yatosha SMATIKA Intaneti kwa gharama nafuu ya hadi shilingi 200 na kujipatia MB 40, vilevlie bando kabambe ya ‘Yatosha SMATIKA Intaneti inamuwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili tu.

Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda akiongea jijini Dar es Salaam leo na kuzindua promosheni hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tazania, alisema ‘Hii promotion inalenga wateja wa intaneti ambao watanunua kifurushi cha bando ya SMATIKA na Yatosha Intaneti

Promosheni hii ya SMATIKA ushinde na SMATIKA na Yatosha intaneti itakuwa ya siku 30 huku kukiwa na droo 3 kila wiki – Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Kwa droo za kila siku,

Wahindi wetu wa kila siku1000 watajishindia bando ya intaneti yenye 1GB kila mmoja wakati kwenye droo kubwa kutakuwa na washindi 10 ambapo watano watashinda simu za SMARTPHONE na wengine watano wakijishindia MODEM WI-FI za kisasa za Wingle, aliongeza Nchunda.

Promosheni hii itakuwa ya uwazi na wateja hawaitaji kujisajili. ‘Mteja anatakiwa kuwa na laini ya Airtel na kujiunga kwenye kifurushi cha Yatosha SMATIKA Intaneti kwa kupiga *149*99# changua namba 5 SMATIKA Yatosha Intaneti, hapo atanunua bando aidha ya siku, wiki au mwezi na kuwa mmoja wa washindi wa zawadi zetu kambambe.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)