Pages

WAFANYABIASHARA WADANGANYIFU TUTAWACHULILIA HATUA ZA KISHERIA RC RUVUMA

Inline image 1
NA DITHA NYONI  RUVUMA
Mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI CHRISTINA MNDEME amewataka wafanyabiashara katika  mkoa wa huo kuhakikisha wanatumia vyema mashine ya kutolea risiti EFD kwa ajili kuongeza mapatao na kuweza kuwa baini wafanyabiashara wanaoiibia serikali mapato
hayo ameyasema wakati akizungumza na wafanya biashara wa manispaa ya songea HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)