WAZIRI UMMY AKABIDHI MIFUKO 200 YA SARUJI KWA SHULE YA SEKONDARI MAWENI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

WAZIRI UMMY AKABIDHI MIFUKO 200 YA SARUJI KWA SHULE YA SEKONDARI MAWENI.

DSC_0536
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga akichimba  msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa kwenye shule ya sekondari ya Maweni Jijini Tanga wakati alipokwenda kushiriki msaragambo na  kukabidhi mifuko 200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo
DSC_0528
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akichimba mtaro huo kwa
ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari  Maweni Jijini Tanga leo Ambapo
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na

Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga
 alipokwenda kushiriki msaragambo na kukabidhi mifuko 200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo
DSC_0537
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga akichimba  msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu kwenye shule ya sekondari ya Maweni  Jijini Tanga wakati alipokwenda kushiriki msaragambo na kukabidhi mifuko 200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo
DSC_0490
Sehemu ya mifuko ya Saruji iliyotolewa na   WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga
DSC_0451
  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga katikati  akipokea cheti cha kutambua mchango wake kusaidia maendeleo ya Jiji la  Tanga kutoka kwa Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj  Mustapha Selebosi kushoto ni Diwani wa Kata ya Maweni,Joseph Calvas
DSC_0459
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj  Mustapha Selebosi kulia akimkabidhi cheti
cha kutambua mchango wao katika kuinua sekta ya elimu kwenye Kata ya
Maweni Diwani wa Kata hiyo kushoto 
Joseph Calvas
DSC_0474
 Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj  Mustapha Selebosi katika akimshukuru  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga kulia kwa kusapoti elimu katika  Jijini hilo baada ya kupokea mifuko 200 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni
DSC_0487
Afisa Elimuy Sekondari Jiji la Tanga,Lusajo Gwakisa akizungumza na waandishi wa habari ambapo walimshukuru WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na  Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga kulia kwa kusapoti elimu katika  Jijini hilo baada ya kupokea mifuko 200 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni
DSC_0495
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu  mkoa wa Tanga akisaini kitabu cha wageni katika shule ya Sekondari  Maweni Jijini Tanga katikati  Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj  Mustapha Selebosi kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
DSC_0498
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu  mkoa wa Tanga akiteta jambo na  Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
DSC_0510
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu  mkoa wa Tanga akipiga picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari Maweni Jijini Tanga
DSC_0514
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu  mkoa wa Tanga katikati akiteta jambo na Mwalimu Mkuu wa shule ya  Sekondari Maweni Zawadi Ponera kulia
DSC_0521
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu  mkoa wa Tanga akitembelea maeneo mbalimbali katika shule hiyo kushoto ni diwani wa Kata ya Maweni,Joseph Calvas na kulia ni Mwalimu Mkuu wa  shule hiyo Zawadi Ponera
DSC_0549
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu  mkoa wa Tanga akimsikiliza kwa umakini Mstahiki Meya wa Jiji la  Tanga,Alhaji Mustapha Selebosi kulia ni Kaimu Mhandisi wa Jiji la Tanga  Mussa Mkomola (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages