Pages

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AMLILIA MAREHEMU ATHMAN KHAMIS ALIYEFARIKI LEO ALIFAJIRI

1
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt . Ibrahim Msengi Ndugu wa Marehemu Athman Khamis Nyumbani kwake Sinza kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba, Marehemu amefariki ghafla usiku wa kuamkia leo kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kuugua ghafla na kulazwa hospitalini hapo kwa matibabu , Marehemu Athman Khamis alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN atazikwa kesho kwenye makaburi ya Kisutu .
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt.. Jimmy Yonaz Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
3
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi. Tuma Abdallah Naibu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
4
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
5
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
6
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na na Dkt.. Jimmy Yonaz Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN na ndugu wa marehemu Dkt Ibrahim Msengi Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
7
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mhuhidin Izssa Michuzi Mpiga Picha wa Rais nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
8
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na ndugu , na jamaa na marehemu wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
9
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiafamilia ndugu , na jamaa na marehemu wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)