KIWANDA CHA SARUJI TANGA (SIMBA CEMENT) YATOA MIFUKO 760 KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI PONGWE JIJINI TANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KIWANDA CHA SARUJI TANGA (SIMBA CEMENT) YATOA MIFUKO 760 KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI PONGWE JIJINI TANGA

 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akipanga tofali kwenye msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino)  na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart kulia akijenga tofati katika vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona  ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga , Reinhardt Swart kulia akiweka  tofali katika vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga Reinhardt Swart kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja ya vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya  ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga Reinhardt Swart kulia akimuelekeza jambo mmoja wa wakandarasi watakaojenga vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya wanafunzi wenye maahitaji maalumu ikiwemo wasiona na wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
 Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga Reinhardt Swart kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja ya vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya  ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza katika halfa hiyo iliyofanyika leo kwenye shule ya Msingi Pongwe Jijini Tanga
Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga  Reinhardt Swart akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo leo
 Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Pongwe Yahaya Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika uzinduzi huo leo  ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo ambapo aliishukuru kampuni hiyo kwa kuthamini juhudi za kuinua elimu
 Diwani wa Kata ya Pongwe(CCM),Mbaraka Sadi akizungumza katika uzinduzi huo ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga akizungumza katika uzinduzi huo leo kwenye shule ya Msingi Pongwe ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga , Reinhardt Swart kushoto akipongezwa na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Pongwe Yahaya Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika uzinduzi huo leo  ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga  Reinhardt Swart katikati akifuatilia uzinduzi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa kwenye shule hiyo uliofanywa leo na Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto ni Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages