Pages

HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave-Maria Semakafu (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Kitabu cha 'Sote Tunaweza', wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika kwenye Bustani ya Target Mbezi Beach Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata Temu (kulia) ni Mwenyekiti wa Kampuni hiyo,  Gaudence Temu.  Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata, akizungumza jinsi alivyoweza kuandaa, kuandika hadi kuprinti kitabu hicho pamoja na changamoto alizopitia hadi kukamilika.
 Uzinduzi ukiendelea......
 Mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave-Maria Semakafu, akihutubia wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi.
 Dkt. Ave-Maria Semakafu, akikielezea kitabu hicho jinsi kilivyosheheni masuala mbalimbali yanayohusu fursa na hasa kwa vijana.
 Baadhi ya Warembo wa Kampuni hiyo waliokuwapo katika hafla hiyo kuhakikisha kila jambo linakwenda swa.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi.
  Baadhi ya wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi.
  Baadhi ya wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini changamoto za mtunzi wa kitabu hicho aliyekuwa akielezea hadi kufikia mafanikio.

 Baadhi ya wageni waalikwa....
   Baadhi ya wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini yaliyoandikwa ndani ya kitabu hicho kama yalivyokuwa yakisomwa na Asha Mtwangi.....
 Baadhi ya wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini yaliyoandikwa ndani ya kitabu hicho kama yalivyokuwa yakisomwa na Asha Mtwangi.....
 Umakini wa kusikiliza matamu yaliyo ndani ya kitabu hicho
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata Temu, akisaini katika baadhi ya vitabu vilivyouzwa kwa wadau mbalimbali wakati wa hafla hiyo....
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata Temu, akimkabidhi mmoja wa wageni waalikwa aliyenunua kitabu chake wakati wa hafla hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata Temu, akipozi kwa picha na baadhi ya 'Class Mate' wakati wa hafla hiyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)