![]() |
| Msanii Vanessa Mdee akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika usiku wa kuamkia jana, uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
![]() |
| Darassa akitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Dodoma mapema usiku wa ijumaa |
![]() |
| JUX akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika usiku wa kuamkia jana, uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
![]() |
Msanii mkongwe Alli Kiba akiwapa burudani mashabiki wake waliofurika kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika usiku wa kuamkia jana uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
|












No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)