Na Ahmad Michuzi, China
Sehemu ye Ukuta Mkubwa ndani ya Mji wa Beijing nchini China (The Great
Wall),kama uonekanavyo pichani mapema leo mchana,ambapo Maelfu ya watu
wakiwemo Wenyeji na wageni hufurika kutembelea ukuta huo wenye historia
kubwa nchini humo.Kuusoma zaidi BOFYA HAPA,Ukuta huo umekuwa kivutio kikubwa kwa wenyeji na wageni mbalimbali ambao wamekuwa wakifurika kila kukicha na kujionea historia kubwa ya ukuta huo nchini China,inaelezwa kuwa ukuta huo ni mojawapo ya chanzo kikubwa cha mapato katika nchi hiyo hasa kwa upande wa sekta ya Utalii.
Baadhi ya Viongozi waandamizi wa Serikali kutoka mkoa wa Pwani na
Uongozi wa Kampuni ya Kilua Industrial Group of Companies wapita maelezo
mafupi kutoka kwa wenyeji wao kabla ya kupanda Ukuta wa The Great Wall
mapema leo mchana,ikiwa ni sehemu ya kujifunza,kuona na kutazama fursa
mbalimbali za Kiutalii mjini humo na namna wenyeji wa mji wa Beijing
wanavyofanya shughuli zao kiutalii.

Uongozi wa Kampuni ya Kilua Industrial Group of Companies na baadhi ya
wenyeji wakielekea kwenye geti kuu la kuingilia Ukuta huo wa The Great
wall,mapema leo mchana.

Uongozi wa Kampuni ya Kilua Industrial Group of Companies wakiwa na
Mwenyeji wao,wa tatu kulia wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya The
Great Wall,mjini Beijing nchini China.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kilua Industrial Group of Companies
Mohamed Said Kiluwa (mwenye njano),akipata maelezo mafupi kutoka kwa
mmoja wa wadau wake aliombatana nao Risasi Mwaulanga,huku baaadhi ya
Viongozi waandamizi wa Serikali kutoka mkoa wa Pwani wakisikiliza kwa
makini,kulia ni Katibu wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bi. Philomena Kasanga,
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibaha,Mansoury Kisebebo pamoja na Katibu
Tawala wa Mkoa wa Pwani (pichani kati)Zuberi Mhinana na nyuma yake ni
Katibu Tawala Msaidizi – Uchumi na Uzalishaji -Mkoa wa Pwani,Shangwe
Twamala pamoja

Wall),kama uonekanavyo pichani mapema leo mchana,huku ukiwa mesheheni
Maelfu ya watu wakiwemo Wenyeji na wageni (watalii) wakipanda ukuta huo
ikiwa kama sehemu ya utalii na kujua historia ya ukuta huo uliopo nje
kidogo ya mji wa Beijing nchini China.
The Great Wall ndani ya mji wa Beijing kama uonekanavyo mapema leo.

Uongozi wa Kampuni ya Kilua Industrial Group of Companies wakiwa katika
picha ya pamoja mapema leo mara baada ya kupanda Ukuta wa kihistoria
ndani ya mji wa Beijing,nchini China

Mohamed Said Kiluwa akiwa na Wenyeji wake,ambao kwa pamoja wanatarajia
kuandaa kongamano kubwa la uwekezaji wa Viwanda kwa kuwaalika viongozi
Waandamizi wa Serikali ya Mkoa wa Pwani (ambao tayari wamekwishawasili
mjini humu),wafanyabiashara wakubwa ambao ni wamiliki wa viwanda na
makampuni mbalimbali,litakalofanyika jijini Beijing,nchini China Oktoba
25,2017 ,litakalojumuisha wafanyashabiashara, wamiliki wa viwanda na
makampuni wapatao 200 kutoka majimbo mbalimbali nchini China.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)