Pages

TOYOTA LAND CRUISER MKONGE SPRINGLEAF INAUZWA BEI NI MIL 13.

TOYOTA LAND CRUISER MKONGE SPRINGLEAF INAUZWA
Transmission ni Manual 
Ya Mwaka 1992
Mafuta ni Dizeli

Haina tatizo wala Shida Hata ukiiamusha usingizi hapo hapo mnaenda popote. Inafaa porini.. Jembe lipo vizuri kuanzia mpini mpaka mashine yenyewe.
Chombo Kinatembea hata ukiamshe usingizini sahivi popote kambi.
Gari lipo Dar Es Salaam Tanzania
Bei ni Milioni 13 Maongezi nipigie 0712 390 200 tuyajenge

Njoo nikuuzie fasta Maisha yaendelee nikupe kitu roho inapenda.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)