NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHLEANING 2017 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHLEANING 2017

1
 Miss Highlearning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha akiwa na washindi wenzake baada ya kutangazwa rasmi na kuvishwa Taji katika shindano la Miss Vyuo Vikuu lililofanyika usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa King Solomon Namanga Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa pili, Queen Elizabeth Makune (kushoto) ni mshindi wa tatu,  Melody Thomas. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)DSC_0561
DSC_0266
 Shindano hilo pia lilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii tofauti kama JK Comedian Jukwaani, Msaga sumu na Barnaba Boy.
DSC_0270
 Sehemu ya wageni waliofika kushuhudia shindano hilo wakiwa katika meza za VIP
DSC_0273
 Shoo ilianza kama hivi kwa kufungua na shoo ya pamoja
DSC_0275
DSC_0278
 Hatimaye warembo walianza kupita jukwaani na vazi la ubunifu....
DSC_0281
DSC_0284 
DSC_0287
DSC_0293
DSC_0295 
DSC_0300
DSC_0301
DSC_0305
DSC_0306
DSC_0308
DSC_0312
DSC_0316 
DSC_0321
DSC_0323
DSC_0324
DSC_0325
DSC_0330
DSC_0332
DSC_0339
DSC_0345
DSC_0347
DSC_0350 
DSC_0357
 Msaga Sumu akitoa burdani
DSC_0364
 Hatimaye Warembo walianza kupita jukwaani wakia na vazi la Ufukweni
DSC_0365
DSC_0369
DSC_0371
DSC_0374
DSC_0375
DSC_0376
DSC_0377

DSC_0378
DSC_0380
DSC_0387
DSC_0388
DSC_0392
DSC_0394
DSC_0396
 Majaji wakijadiliana jambo
DSC_0397
DSC_0406
 Dj John Dilinga naye akionyesha shoo, kuigiza umiss
DSC_0414
DSC_0419

DSC_0421
 Miss Talent akinyesha jinsi alivyochukua taji hilo.
DSC_0430
 Hatimaye ukafika muda wa Warembo kupita jukwaani na vazi la usiku.
DSC_0433
DSC_0436
DSC_0440
DSC_0441
DSC_0445
DSC_0450
DSC_0452
DSC_0454
DSC_0457
DSC_0460
DSC_0463
DSC_0465
DSC_0467
DSC_0470
DSC_0472
 Ulifika muda wa Barnaba Boy kuwarusha wadau wa urembo ukumbini hapo
DSC_0481
DSC_0482
 Dj Denso kutoka Mafoto City Sound akiwarusha kwa ngoma za Barnaba alipopanda jukwaani
DSC_0499
 Huku ni nyumba ya Stage warembo wakishoo love
DSC_0502
DSC_0506
DSC_0528
 Barnaba Boy akiwachezesha warembo kwa ngoma zake
DSC_0529
DSC_0532
 Warembo wakiwa nyuma ya stage nao wakifuatilia shoo ya Barnaba Boy
DSC_0534
 Hawa ndiyo warembo wote walioshiriki shindano hilo
DSC_0539
 Mkurugenzi na mratibu wa shindano hilo, Joseph Musendo akizungumza jukwaani, akiwa na msaidizi wake
DSC_0541
DSC_0542
 Ilipoanza kutangazwa tatu bora
DSC_0548
 Miss Highlearning 2016, Laura Kway, akimvisha Taji Miss Highlearning 2017, Nelly Kazikazi, baada ya kutangazwa mshindi.
DSC_0558
Miss Highlearning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages