MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MAMA HAPPYFANIA KOMBA KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MAMA HAPPYFANIA KOMBA KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM

 Marehemu Happyfania Komba enzi za uhai wake. Happyfania Komba alifariki dunia usiku wa kuamkia jana akiwa usingizini na mazishi yake yatafanyika kesho Tunduru mkoani Ruvuma.

 Mwili wa marehemu ukiagwa.
 Mtoto wa marehemu, Exavery Komba akisaidiwa na wenzake wakati akitoa heshima za mwisho kwa mama yake.
 Shangazi yake marehemu Winfrida Komba akilia kwa uchungu wakati wa kumuaga mpendwa wake.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages