Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo ya Chombo bora cha habari mwaka 2017 (Magazeti), Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yona (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa (Picha:Mroki Mroki/TSN Digital).
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo ya Chombo bora cha habari mwaka 2017 (Digital), Kaimu Mkurugenzi wa habari na Matukio wa TBC, Prudence Costantine (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kulia) baada ya Benki hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania,(TBL), Bruno Zambrano (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo kwa Meneja Mwandamizi wa Benki ya NMB anaeshughulika na Mikakati na mahusiano ya wawekezaji, Anna Mwasha (kulia) baada ya Benki hiyo kuibuka mshindi wa pili katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered wakiwa katika picha
wafanyakazi wa TBL nao wakifurahia tuzo yao.
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa habari na Matukio wa TBC, Prudence Costantine (kulia) baada ya Vyombo hivyo vya habari vya serikali kushinda tuzo za DSE 2017.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wakifurahia tuzo yao.
Picha ya pamoja kati ya wafanyakazi wa TSN na majaji katika tuzo za DSE.
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi akiwa na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kulia.
Picha ya pamoja ya washindi na watumishi katika taasisi zao.
Wageni mbalimbali waliohudhuiria hafla hiyo wakiwa ukumbini wakati wa utoaji tuzo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)